![]() |
| Ujenzi wa Morogoro Road unaoendelea sasa ni dhahiri kwamba ukikamilika utakuwa na manufaa makubwa kwa vyombo vya usafiri jijini Dar es salaam. |
![]() |
| Muonekano katika eneo la mbele ya barabara hiyo Ubungo. |
![]() |
| Kizuizi hiki licha ya kuwa kero kwa kuleta usumbufu na msongamano wa magari kimewekwa kwa makusudi ya ujenzi huo madhubuti. |
Tupe maoni yako



0 comments:
Post a Comment