| Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasilino wa Vodacom Tanzania Kelvin Twissa, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutangaza ujio wa wasanii wa Muziki wa kizazi kipya Peter na Paul Okoye maarufu kama P – square kutoka nchini Nigeria chini ya udhamini wa Vodacom, watakaowasili Tarehe 23 Mwezi ujao. Wasanii hao wataambatana na wasanii wengine 13 kutoka nchini humo. Pamoja nae katika picha ni Mtangazaji wa East Afrika Radio, Hillary Daudi (Zembwela). |
0 comments:
Post a Comment