Mkuu wa mkoa wa Mwanza Evarist Ndikilo akipanda mti kuhifadhi mazingira ya Hospitali ya Rufaa Bugando jijini Mwanza, zoezi lililohisaniwa na Benki ya CRDB. |
Ni wakati wa umwagiliaji sasa. |
Wadau wa Benki ya CRDB nao walishiriki zoezi hilo kuhakikisha miti 1000 inapandwa katika Hospitali ya Rufaa Bugando jijini Mwanza. |
Zoezi la upandaji miti lilikuwa kubwa kwani miti 1000 siyo mchezo.. kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Bi. Amina Masenza, Mkuu wa Mkoa Injinia Ndikilo na Mkurugenzi wa CRDB Charles Kimei. |
Wadau wa CRDB wakipanda miti na maua kuhakikisha BMC panakuwa mahali safi kimazingira. |
Kamanda wa Polisi Ernest Mangu akishiriki upakaji rangi jengo la Hospitali ya Rufaa Bugando anayefuata ni Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Bi. Amina Masenza. |
Burudani toka Bujora Dance. |
Ngoma Boys. |
Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Charles Kimei akiwapongeza wafanyakazi wa CRDB Mwanza kwa kusimamia shughuli nzima kwa ufanisi. |
Kamati. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.