Msimu mpya wa zao la Pamba umezinduliwa nayo bei iliyopendekezwa na kupitishwa ni shilingi 700/= toka shilingi 640/= ya mwaka jana.
Hata hivyo bei hiyo mpya bado inalalamikiwa na wakulima kuwa ni ndogo inayoendelea kuwakandamiza.
VICENT NYERERE:-
Kuna maswali mengi hayajajibiwa kwa vitendo,
-Swali kuu ni kwanini bei ya pamba inashuka ile hali bidhaa za pamba kama nguo zinapanda bei kila kukicha
-Wakulima wa pamba hawafaidiki kama wafanyabiashara wa pamba na hasara inapotokea serikali inawabeba zaidi wafanyabiashara. Hebu msikilize Mbunge wa Musoma mjini Vicent Nyerere (CHADEMA) alipozungumza nasi. BOFYA PLAY
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.