Diwani wa kata ya Nyamagana Bhiku Kotecha akisoma hotuba kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Maji. |
Hayo yamethibitishwa leo katika hotuba ya Mkuu wa mkoa wa Mwanza iliyosomwa kwa niaba yake na Diwani wa Kata ya Nyamagana Bhiku Kotecha wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha wiki ya maji yaliyofanyika viwanja vya Ghand Hall jijini Mwanza.
Amesema kuwa Mamlaka hiyo haiwezi kutekeleza wajibu wake wa kusambaza majisafi na kuondoa majitaka kwa wananchi wapatao 700,000 wa jiji la Mwanza wanaofikiwa na mtandao kama limbikizo la deni hilo na Ankara za kila mwezi havitalipwa kwa wakati muafaka.
Mkurugrnzi wa Mamlaka ya maji safi na maji taka mkoa wa Mwanza (MWAUASA) Eng. Anthony Sanga akihutubia umati wa watu waliofurika viwanja vya Ghand hall hii leo. |
Mahitaji ya kuongeza mtandao wa majisafi katika mji wa Mwanza unaokuwa kwa kasi yanakadiriwa kufikia kilomita 300 kwa gharama ya Tshs. Bilioni 5 kwa ajili ya mabomba, viungio na vituo vya kuongeza msukumo wa maji (Booster stations)
Mjumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Maji safi na maji taka jijini Mwanza MWAUWASA Mama Lopa akitoa changamoto zinazoikabili Malaka hiyo. |
Wadau mbalimbali pamoja na wafanyakazi wa Mamlaka ya maji Kusanyikoni. |
Sehemu ya wafanyakazi wa MWAUWASA. |
Wiki ya maji pia inaenda na unywaji maji!! |
Burudani na Kadogoli. |
Burudani na Bujora wazee wa manyoka. |
Diwani wa kata ya Nyamagana Bhiku Kotecha akipata maelezo toka kwa wafanyakazi wa MWAUWASA kwenye maonyesho mabandani viwanja vya Ghand Hall Mwanza. |
Burudani ikiendelea. |
Diwani wa kata ya Nyamagana Bhiku Kotecha akipata maelezo ya Ubora wa Maji toka kwa wafanyakazi wa MWAUWASA kwenye maonyesho mabandani viwanja vya Ghand Hall Mwanza. |
Diwani wa kata ya Nyamagana Bhiku Kotecha akisaini kitabu cha wageni kwenye maonyesho mabandani viwanja vya Ghand Hall Mwanza huku akishuhudiwa na mmoja wa wafanyakazi wa MWAUWASA. |
Kaulimbiu ya Wiki ya Maji mwaka huu ni "Mwaka wa Ushirikiano wa Maji Kimataifa" (International Year of Water Co-operation). |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.