DICKSON VEDASTUS WASIWASI ALIZALIWA 7/07/1996 KATIKA HOSPITALI YA RUFAA BUGANDO MWANZA, KIBOFU CHA MKOJO KIKIWA NJE (KIKIONEKANA WAZIWAZI), MADAKTARI WAMEMFANYIA MATIBABU KUPITIA OPARESHENI MARA TATU BILA MAFANIKIO.
OPARESHENI YA KWANZA ILIFANYIWA AKIWA NA MIEZI MIWILI, OPERESHENI YA PILI IKAFUATIA NA YA TATU IKAFANYIKA MWAKA 2000 HAPO HAPO HOSPITALI YA BUGANDO, LAKINI KWA BAHATI MBAYA ZOTE HAZIKUZAA MATUNDA.
KWA MUJIBU WA MZAZI WA KIJANA DICKSON, BW. VEDASTUS WASIWASI AMBAYE NI MKAZI WA MTAA WA SONGAMBELE, MAGOMENI KIRUMBA KATIKA JIJINI MWANZA AMESEMA KUWA ALIPEWA USHAURI NA MADAKTARI WA HOSPITALI HIYO KUMPELEKA NCHINI INDIA KWA MATIBABU ZAIDI.
GHARAMA ZA MATIBABU NI SHILINGI MILIONI 20, NAYE HANA UWEZO HIVYO AMEOMBA WASAMALIA WEMA KUMSAIDIA KUNUSURU ADHA NA MATESO AYAPATAYO MTOTO WAKE.
CHANGIA KUPITIA AKAUNTI ZIFUATAZO:-
CRDB 0152457709500
AZANIA 003003005102370001
SIMU 0762324527 OR 0683580004
LEO tulipata fursa ya kuzungumza na mzazi wa mtoto anayehitaji upasuaji (Dickson) Bw. Vedastus Wasiwasi kujua usumbufu na adha aipatayo mtoto naye kwa ufupi alikuwa na haya ya kuongea.. Bofya play.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.