Afghanistan inaandaa pigano la kwanza kuwahi kufanyika nchini humo huku kukiwa na ulinzi mkali sana.
Hamid Rahimi, na mshindani wake kutoka Tanzania, Said Mbelwa |
Mamilioni ya waafghanistan wanatarajiwa kutizama mchuano huo kati ya bingwa wa ndondi nchini Afghanistan, Hamid Rahimi, na mshindani wake kutoka Tanzania, Said Mbelwa.
Ndondi ziliharamishwa nchini Afghanistan mwishoni mwa utawala wa Taliban.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.