ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, September 14, 2012

KUWA MLEMAVU WA VIUNGO HAIMAANISHI WEWE NI MLEMAVU WA AKILI.

Mtoto mlemavu wa viungo akimudu maisha kwa kutumia viungo vyake na kumudu maisha ya kujitegemea mbali na kuwa tegemezi kwa kushiriki kupika chakula.

Mtoto huyo akiwa na familia yake tena kwa furaha teeeele.

Hivi ndivyo mwanawane anavyokula bila utegemezi naye maisha kayazoea anaishi kama wewe uliye na viungo vyote. 

Na maji ya kunywa akishushia.

Maisha yanategemea sanaa na jinsi unavyoyapokea  na changamoto zake zilizoko mbele yako vile unavyozikabili kwa mtazamo chanya katika mazingira hasi. Kinachohitajika ni kuona kinachowezekana katika kisichowezekana ili kukabili maisha ya amani na mafanikio, pichani akiwa na furaha mara baada ya kukabidhiwa baiskeli ya magurudumu matatu.

Pozi la umakini nyumbani.

Mtoto aliyezaliwa na ulemavu wa viungo akiwa na ndugu jamaa na marafiki wakifurahia pamoja maisha.  
MAISHA YANATEGEMEA SANAA NA JINSI UNAVYOPOKEA CHANGAMOTO ILIYOKO MBELE YAKO KWA MTAZAMO CHANYA KATIKA MAZINGIRA HASI. KINACHOHITAJIKA NI KUONA KINACHOWEZEKANA KATIKA KISICHOWEZEKANA ILI KUKABILI MAISHA NA KUISHI MAISHA YA AMANI NA MAFANIKIO.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.