Team Tanzania
MAMIA YA WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KWENYE MBIO ZA SUZAN G. KOMEN. KUMALIZA VITA DHIDI YA MARADHI YA SARATANI YA MAZIWA 2012.
Team Tanzania baada ya kumaliza matembezi ya Susan G.Komen. dhidi ya kupiga vita
maradhi ya Saratani ya maziwa.
Team Tanzania
waki wakiwa kipata picha ya pamoja katika kuitikia wito wa kuunga mkono
wanawake ambao wanakabiliwa na ugonjwa wa saratani ya maziwa, utafiti na elimu
dhidi ya ugonjwa huo.
Ghana Team pia walishiriki katika zowezi zima la Susan G.Komen. kumaliza vita
dhidi ya maradhi ya Saratani ya Maziwa Susan G.Komen. 2012
Latino Team pia hawakujiweka nyuma kupiga vita ungonywa huo hatari unaowapa tabu
kina Mama
Jamii
iliyostaarabika ni yenye kuheshimu Mawazo & Mitazamo ya wengine. Mchango wako katika kazi yoyote ulenge kujenga jamii yenye Kujitambua, Kujithamini na Kujiwajibisha.
Warembo wa
kiTanzania wakiwa mstari wa mbele katika mpango mzima wa kutimiza mwindo wa mile tatu
Kina dada wwakiwa katika matembezi ya kupiga vita ogonjwa wa saratani ya maziwa siku ya Jumamosi June,2,2012 ndani ya washington D.C nchini Marekani.
Maradhi ya saratani ya maziwa yanakisiwa kuwadhuru watu 25 milioni kote ulimwenguni ambapo kama hatua haitochukuliwa inakisiwa watu milioni 10 kufa katika kipindi cha
miaka 25 ijayo.
Wananchi wakiwa katika mwendo wa Susan G.Komen, kumaliza matembezi ya kupiga vita dhidi ya maradhi
ya Saratani ya Matiti Susan G.Komen. 2012! (Picha maelezo na swahilivilla.blogspot.com)
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.