"Pamoja na kwamba tunapaswa kuzingatia kuepuka kununua bidhaa feki na kukemea huduma zisizokuwa na viwango pia tunapaswa kulinda miundo mbinu inayo sukuma huduma iwe ya mtu binafsi au serikali kwani inatuhudumia sisi" by Mgeni rasmi mkuu wa wilaya ya Ilemela Said Amanzi.
Karibu katika banda la Baraza la Tume ya Ushindani na Udhibiti Bidhaa Bandia.
Mkuu wa wilaya ya Ilemela Said Amanzi sambamba na wanafunzi akipata maelezo toka kwa msemaji wa Baraza la watumiaji wa huduma zinazodhibitiwa na EWURA CCC, Erasto Kishe
Wandishi Devota Kabambo na Mtangazaji wa Radio IQRA wakipata maelezo toka kwa mdau wa Baraza la Ushauri la watumiaji wa huduma za usafiri wa nchi kavu na majini (SUMATRA CCC)
Karibu katika banda la Baraza la Ushauri Watumiaji wa Huduma ya Usafiri wa Anga Tanzania. "Lengo kuu ni kujenga msingi imara utakao linda na kuboresha maslahi na haki za watumiaji wa huduma za usafiri wa anga nchini kwa kutengeneza mazingira mazuri ya kushauriana, kuhamasisha utetezi katika mambo yote yanayogusa maslahi na haki za watumiaji wa usafiri wa anga" by msemaji bi Catherine Monarya (L)
KISHA MDAHALO UKAFANYIKAKatibu Mtendaji Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri wa nchi Kavu na Majini SUMATRA CCC, Oscar Kikoyo akijibu maswali kwenye mdahalo. Mdahalo wa wazi wa watumiaji (Open consumer dialogue) uliowakutanisha wanazuoni, wanafunzi na walaji kwa ujumla ulifanyika kwenye viwanja hivyo vya maonyesho ambapo mambo mbalimbali yaliibuliwa na kupatiwa majibu.
Mdahalo umefanyika leo hapo hapo kwenye maonyesho, Viwanja vya Makongoro jijini Mwanza ambapo ni kitaifa na kesho maonyesho hayo yatahitimishwa.
TEHAMA KUBORESHA ELIMU KWA MAFUNZO YA WALIMU
-
TEHAMA ni nyenzo muhimu katika sekta ya elimu, kwa kutambua hilo Serikali
imewezesha mafunzo kwa walimu ili kuongeza maarifa na kuboresha mbinu za
ufundi...
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.