Kibao elekezi kwa maonyesho yaliyohitimishwa rasmi leo ambapo kila mkoa ulijiandaa kwa kiwango chake huku kitaifa yakifanyika mkoani Dodoma.
Vifaranga vya kuku aina ya Chotara
Baba: Redleghom
Mama: Kienyeji (morashi)
Uzalishaji nyama na mayai.
Bodi ya pamba.
Maboga katika banda la kilimo wilaya ya Magu.
Bwana shamba James Petro akimnyoa Mhandisi wa kilimo, Injinia Mazengo kupitia umeme unaozalishwa na Power Tilla (Trekta la kulimia)ikiwa ni ubunifu kukabiliana na Mgao...tEHE!
Ufugaji wa sungura.
TTCL Crew nayo iliwakilisha maonyeshoni kutoka kushoto Abel Ngusa, Grace Sisso, Lucas O. Oganje na Pius Nging'o.
Ni Pampu ya kuvuta maji kwa kutumia upepo (windmill) toka Halmashauri ya wilaya ya Misungwi(naahidi kukuletea video jinsi inavyofanyakazi)
Muelimishaji toka banda la Halmashauri akizibainisha zipi zana halali na zipi zana haramu kwa uvuvi.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.