Mwalimu wa mafunzo katika kundi jipya la Repuplican Forces nchini Ivory Coast, Yaya Cisse, anasema "hawa ni raia ambao watapatiwa mafunzo kuwa wanajeshi kamili huku wale ambao wanataka kuwa polisi wataendelea na Wale ambao wanataka kuacha, tutawaruhusu kufanya hivyo"
Kuweka sawa huduma za usalama nchini Ivory Coast ni sehemu kubwa ya kurudisha tena ushwari katika mji mkuu wa kibiashara ambapo Rais Ouattara anataka kuanza haraka uuzaji wa kakao nje ya nchi, kufungua tena mabenki na kukufua tena viwanda ili uchumi wa nchi usonge mbele.
Hata hivyokamatakamata bado inaendelea nchini humo , ambapo wafuasi sugu wa Gbagbo waliopo jeshini wamekuwa wakitiwa kwenye mikono ya dola...
kwa msaada wa mirindimo.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.