Saturday, March 19, 2011
HABARI
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza askofu mpya wa jimbo Katoliki Dodoma Mwashamu Gervas Johnn Nyaisonga muda mfupi mara baada ya kumaliza ibada ya kumweka wakfu askofu huyo iliyofanyika katika kanisa kuu la mtakatifu Paulo Msalaba mjini Dodoma leo asubuhi.
Mwadhama Polycarp Pengo akimvika kofia ya Kiaskofu Muashamu Gervas John Nyaisonga wakati wa ibada hiyo. Kushoto ni Rais wa baraza la maaskofu kanisa katoliki Tanzania Muashamu Yuda Thadeus Ruwainchi ambaye ambaye amehamishiwa jimbo kuu la Mwanza akiwa tayari amesimikwa.
Mwadhama Polycarp Pengo (katikati) akiongoza ibada ya kumweka wakfu mhashamu Gervas John Nyaisonga (aliyelala chini) kuwa askofu mpya wa Jimbo Katoliki Dodoma.
PICHA ZOTE NA FREDDY MARO.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment