Hatimaye mwili wa gwiji wa muziki wa dansi nchini Ramazan Mtoro Ongalla maarufu kama Dr. Remmy Ongalla umezikwa jana katika makaburi ya sinza, Dar es salaam ambapo mamia ya wakazi walihudhuria mazishi hayo. Kabla ya kuzikwa mwili wa marehemu uliagwa katika viwanja vya Biafra vilivyopo Kinondoni, jijini Dar. Mamia ya waombolezaji walilazimika kuvumilia adha ya kukanyagana wakati kila mhudhuliaji akijaribu kupata nafasi ya kumuaga mwanamuziki huyo aliyeacha watoto sita.
Waziri wa Habari, Vijana na Michezo Emmanuel Nchimbi alisema Taifa litaendelea kukumbuka mchango wa Dr. Remmy hasa kwa kuwa mkongo wa kwanza kupigania sanaa ya Tanzania miaka mingi iliyopita.
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
SERIKALI YAAHIDI KUBORESHA MIUNDOMBINU KING LION
-
Prof.Mkumbo katikati akisikiliza maelekezo kutoka kwa Meneja wa King Lion
Arnold Lyimo.
Waziri Mkumbo akiwa kwenye picha ya pamoja na wawekezaji wa ...
SERIKALI YAAHIDI KUBORESHA MIUNDOMBINU KING LION
-
Prof.Mkumbo katikati akisikiliza maelekezo kutoka kwa Meneja wa King Lion
Arnold Lyimo.
Waziri Mkumbo akiwa kwenye picha ya pamoja na wawekezaji wa ...
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.