ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, November 4, 2010

MWANZA SEC WAZINDUKA KISAWASAWA.

HATIMAE ULE MPANGO WA KUENEZA ELIMU JUU YA UFAHAMU WA JANGA LA MALARIA KWA NIA YA KUUTOKOMEZA UGONJWA HUO LEO MCHANA UMEZUNGUMZA NA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI MWANZA.

MSANII MATALUMA AKISHINDANA NA MOJA KATI YA WANAFUNZI WA SHULE HIYO KATIKA WIMBO MAMA MUBAYA, MPANGO WA ZINDUKA UNATUMIA SANAA YA MUZIKI KUHAMASISHA WANANCHI KUJIUNGA ILIKUJIKINGA KATIKA KUPIGANA NA MALARIA KWANI INAWEZEKANA.

KWA WALE NDUGU ZANGU AMBAO WAKIUGUA TU! ooooH! NIMEROGWA' IGIZO HILI SAIZI YAO..

KIFO NI MATOKEO YA KUAMINI KATIKA USHIRIKINA TUBADILIKE, MALARIA INATIBIKA, MALARIA INAZUILIKA.

KWA UMAKINI WANAMWANZA SEC WAKIFUATILIA.

MBINU YA MAIGIZO PART 2. PICHA LINAENDELEA WALIO NDANI YA CHANDARUA SALAMA SALMIN.

EH BANAEeeee! MBU AKIISAKA DAMU YAKO.....

MRATIBU WA MRADI HUO UPANDE WA ELIMU, AUNT SADAKA AKIFURAHIA JAMBO SAMBAMBA NA WALIMU WA SHULE HIYO.

THT NDIYO VIJANA WALIOKUWA WAKITOA BURUDANI NA ELIMU KWA MAIGIZO SIKU YA LEO, SHUGHULI YAO WAIJUA SI MCHEZO. HAWABAHATISHI.

KATIKA MPANGO HUU JAMBO ZURI LILILOFANYIKA HAPA NA KUNIFURAHISHA NI KUTUMIA VIHUSISHI PENDWA KWA VIJANA HUSUSANI MUZIKI WA KIZAZI KIPYA, MAIGIZO NA KUCHEZA MUZIKI WA RIKA HUSIKA. HONGERA VIJANA WA THT, HONGERA MPANGO WA ZINDUKA.

MAYANKI WA THT.

PICHANI THT DADAz WAKIKUMEGEA TABASAMU. KESHO MPANGO MZIMA NI PALE PAMBA SEC.

Tupe maoni yako

1 comments:

Note: Only a member of this blog may post a comment.