
TAIFA LA TANZANIA LEO LINATIMIZA MIAKA 11 TOKA KIFO CHA MUASISI WAKE BABA WA TAIFA HAYATI JULIUS KAMBARAGE NYERERE KILICHOTOKEA KATIKA HOSPITALI YA MT THOMAS LONDON, UINGEREZA AMBAPO WATANZANIA WANAADHIMISHA SIKU HII IKIWA BADO SIKU KUMI NA SABA KUFIKIA UCHAGUZI MKUU OCT 31/2010.

VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI VIMEENDELEA KUKUMBUSHA HOTUBA ZA MWALIMU, MOJA KATI YA HOTUBA HIZO NI ILE INAYO TUASA JUU YA KIONGOZI GANI BORA KUMCHAGUA SIKU YA KUPIGA KURA. KARIBU MANENO MENGI KWENYE HOTUBA ZINAZORUSHWA HEWANI NA VYOMBO VYA HABARI VYA KIELEKTRONIKI YAMETENDEKA NA NDIYO MAMBO YANAYOZUA GUMZO KTK JAMII YA WATANZANIA KWA SASA.


Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.