 |
Germany ndiyo mabingwa wa kombe la dunia! |
Gotze aiweka Ujerumani mbele 1-0
Mario Götze anaipatia Ujerumani bao la ushindi.
Ujerumani wanakuwa timu ya kwanza kutwaa kombe la dunia katika mchuano ulioandaliwa Kusini mwa Marekani.
 |
He!! Bastian Schweinsteiger na Lukas Podolski wakisherehekea ubingwa kwa style ya utata... |
 |
Kwa timu ya Argentina ni kipindi cha kukubali yaishe.
|
 |
Paul Pogba wa timu ya Ufaransa #FRA ametunukiwa tuzo ya mwanasoka mdogo kuliko wote wa michuano ya Kombe la dunia 2014. |
 |
Huko nchini Ujeruani, Shangwe za ushindi tayari zimeanza ni pata shika usiku umegeuka kuwa mchana. |
 |
AHA! |
a
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.