![]() |
| Kituo cha Express cha Kemondo |
Yanga na Simba zinakutana tena leo katika mechi ya ligi kuu itakayofanyika uwanja wa Taifa Mpya kuanzia saa 1:00 usiku. Hizi ni pix za mashabiki wakijinadi leo katika mitaa mbalimbali jijini Mwanza.
![]() |
| Na kibajaji mitaa ya Makoroboi..... |
Tupe maoni yako


0 comments:
Post a Comment