Kiungo wa katikati wa timu ya Simba Mohamed Banka akiachia shuti kali kuelekea langoni mwa timu ya Bunamwaya huku Ronard Seku akijaribu kuuzuia mpira huo bila mafanikio. Hadi mwisho Simba 2, Bunamwaya 1. Kwaushindi huo Simba imesonga mbele hatua ya nusu fainali.
Mashabiki wa timu ya Simba wakiwatukana waamuzi wa mchezo huo wakati timu zikienda mapumziko wakilalamikia uchezeshaji kwa madai kuwa ni wa upendeleo. Picha kwa hisani ya Michuzi.
Viongozi maarufu 'walioasi' na kuitikisa CCM
-
Humphrey Polepole, Josephat Gwajima ama Lugaha Mpina ni majina ya viongozi
wa sasa wanaonekana kuikosoa CCM kutoka ndani, lakini wapo vigogo wakubwa
waliow...
Hongera Simba, haya jipangeni tena vizuri ili mechi ijayo pia mtupe raha watanzania. Mungu ibariki Simba, Mungu ibariki Tanzania Amen!!
ReplyDelete