Hii ilikuwa siku ya Jmosi tarehe 2/04/2011 The Royal Sunset Park Campsite and Beach, Luchelele Nyegezi nje kidogo ya mji wa Mwanza.Timu ya wanaume iliyojumuisha wafanyakazi na familia zao walikuwa tayari kuanza mbio za kukimbia na mayai Kutoka kushoto, E Kidosi, J Gwalugano (meneja wa tawi), H Shamte, P Nkenguye, Michael Ruta na N Mugisha.
Mtoto Elly Gwalugano akinogesha shughuli kwa style yake ya Kiduku, pembeni kulia ni mama Winnie Muta, Hellen Muta na Irene Nyalla.
Ni Mama na mwana Winnie na Hellen Mutta wakitesti kusakata kiduku style. Tathmini inaonesha kuwa wengi wanaofanya vizuri katika kamuziki haka ni wale wenye aidia na ufundi cherehani.
Muongoza shughuli hiyo aka mc anaitwa Allawi Mdee (Afisa maendeleo ya biashara wa tawi) akifungua muziki kwa style ya stuaa - kijotijoti!.
Dada Annah Lupemba refa wa mchezo wa kukimbiza kuku akimweka kuku katikati ya uwanja tayari kwa kulianzisha shindano.
'Usinshike bega mshkaji yule paleee' Washindi wa kukimbiza kuku wa timu ya wanawake na wanaume Da Rose na bro Peter wakipongezanaZ.
BALOZI NCHIMBI AFUNGA KAZI RUVUMA
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John
Nchimbi, amehitimisha ziara yake ya siku tano mkoani Ruvuma, akisisitiza
kuwa CCM itaen...
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
..woow,they seem they had best time...
ReplyDeletebra...
..ayaa kijoti,kijoti,kijoti stuaaa,,meipendaaa..