![]() |
Diamond The Platnum akikisanukisha ndani ya show ya kubwa iliyopata mashabiki ambao idadi yao haijawahi kutokea ya Tigo Nkabaa uwanja wa CCM Kirumba Mwanza na kupata shangwe za kutosha. |
![]() |
We wachaaaaa....!! |
![]() |
The Platnum mwenyewe. |
![]() |
Shangwe za hapa ilikuwa balaaa.. toka kwa mashabiki kwenda kwa supa staa huyu. |
![]() |
Chekshia magoli ya basketball yalipogeuka kuwa majukwaa. |
![]() |
Ney wa Mitego alipata shangwe za kutikisa... |
![]() |
Ngosha ze Swagz' Fid Q |
![]() |
On the one & two. |
![]() |
Roma akisalimia watu wake ambapo dimba la CCM Kirumba lilitapika kwa kuwa na mashabiki mizunguko yote... |
![]() |
Siwasikiiiii. |
![]() |
Seksheni ya Chomaz na Dada Dory. |
![]() |
Jirambeeeee. |
![]() |
Rich Mavoko... akilimeneji stage. |
![]() |
Recho toka THT. |
![]() |
Full house full nyomiiii....watu zaidi ya elfu 40. |
![]() |
Recho dance. |
![]() |
Stiko jukwaani... |
![]() |
Jinsi hali ilivyokuwa ikisonga mbele nao mashabiki kusogea zaidi kulifikia jukwaa askari walitumia mbwa kusogeza mashabiki wakati huo milango ikafungwa hakuna ruhusa kuingia watu tena. |
![]() |
Hata show iliposimama mashabiki waliendelea kuwapo ndani ya uwanja wakidhani ni mkwara tu show ingeendelea kumbe ndiyo bye bye ya Nkabaaaa... |
![]() |
Afande Kotecha akiwaamuru mashabiki kuondoka sasa uwanjani kwani hali ya usalama siyo nzuri na mashabiki wameshindwa kutulia. |
![]() |
"Sasa tumetuliaaaa...." Ni kama kauli za mashabiki walioshuka toka majukwaani na kuketi nyasini wakilizonga jukwaa ili wapate kuendelea na burudani. |
![]() |
Afande Kotecha akimwamuru Diamond kushuka ili pasitokee maafa. |
![]() |
Njia iliwekwa sawa.....kisha mnyamwezi the Platnum akapanda kwenye gari maalum na kusepa... |
![]() |
Hata kutoka kiwanjani napo kulikuwa inshu... |
![]() |
Kazi kweli kweli dimbani CCM Kirumba Mwanza Tanzania, hakika hii ni historia nyingine mpya imewekwa jijini hapa. By G. Sengo. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.