""Ninapendekeza Bonanza lingine lihusishe na timu za viongozi hapa mkoani, kwani leo viongozi sijawaona kabisa uwanjani zaidi ya wao kukaa kwenye majukwaa na vivuli 'wakitegea' kwa kugeuka kuwa watazamaji, halafu tunasifu Michezo ni afya, Michezo ni Urafiki na sifa nyingi nyingi..." kisha akaongeza
"Mimi nataka siku hiyo sisi viongozi mkoani tukutane kisha tushindane kufukuza kuku na maafande" Alisema Mhe. John Mongella, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza katika Bonanza la michuano ya Majeshi Wizara ya Mambo ya Ndani iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Butimba Magereza jijini hapa.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.