Baraza la mitihani la Tanzania (NECTA), imetangaza matokeo ya darasa la saba ambapo asilimia 81.50 ya watahiniwa 933,369 wamefaulu mtihani huo.
Pia watahiniwa 909 wamefutiwa matokeo kwa sababu ya udanganyifu. Matokeo ya jumla yanaonyesha ufaulu umeongezeka kwa asilikia 3.78
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.