ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, August 16, 2018

KWA MARA YA KWANZA BAADA YA MIAKA MINGI SASA MWANZA YAJIVUNIA KUWA NA TIMU MBILI LIGI KUU TZ BARANA ZEPHANIA MANDIA/GSENGOtV

Siku  chache kabla ufunguzi wa ligi Kuu Tanzania Bara Mkuu wa mkoa wa mwanza John Jongela ametembelea kambi za klabu  ya Mbao FC na Alliance SC. zinazoshirIki ligi hiyo ambapo licha ya kuwataka wachezaji kujituma ili kuuletea sifa mkoa amesema hatarajii timu hizo kushika nafasi za mwisho na kuwa kwenye hatari za kushuka daraja kama ilivyotokea Katika Msimu uliopita.

Timu za Alliance na Mbao FC zinatarajiwa kufungua pazia la Ligi Kuu Tanzania bara August 22 zikiwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini hapa mchezo unaotarajiwa kuvuta hisia za mashabiki wengi wa soka.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.