Basi la kampuni ya KIDIA ONE limeteketea kwa moto maeneo ya Maluga kona mkoani Singida..
Abiria wote wako salama Hakuna abiria alyejeruhiwa.
Chanzo cha moto ni tairi ya nyuma kupasuka na kushika moto, hivyo juhudi za abiria na wananchi za kuzima moto huo zilishindikana baada ya moto huo kuwazidi kasi kutokana na upepo
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.