ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, July 29, 2018

KWA MARA YA KWANZA NDEGE KUBWA YA SERIKALI YATUA JIJINI MWANZAGSENGOtV
Kwa mara ya kwanza ndege kubwa ya Boeing 787-8 Dreamliner yenye uwezo wa kubeba watu 262 imewasili majira ya saa 5:00 asubuhi ikitokea Kilimanajro.

Hii ni safari yake ya kwanza kuzinduliwa tangu ndege hiyo ilivyowasili nchini Tanzania mapema mwezi huu ikitokea Marekani.

Hamasa kubwa iliyofanywa na mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella kwa takribani siku 7 imewatoa majumbani si wakazi tu wa mkoa wa jiji la Mwanza bali pia wananchi kutoka mikoa ya jirani na wilaya zake wamedhuru hapa wapate kuiona ndege hiyo jichokwa jicho.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.