ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, July 30, 2018

KIVUKO CHA MV MWANZA CHAANZA KUPIGA MZIGO.



GSENGOtV
KIVUKO cha MV. Mwanza kilichoigharimu serikali zaidi ya shilingi bilioni 8.9 kimeanza rasmi kutoa huduma zake kati ya wilaya za Misungwi na Sengerema Mkoani Mwanza hatua inayoelezwa kurahisisha huduma za usafirishaji katika Ziwa Victoria.

Kivuko hicho kilichoundwa na kampuni ya Songoro Marine ya jijini Mwanza kina uwezo wa kubeba abiria 1000,Tani 250 za mizigo na jumla ya magari makubwa na madogo 36 kimeanza safari kati ya Kigongo na Busisi baada ya mkandarasi kukikabidhi kwa Waziri wa Uchukuzi Mhandisi Isack Kamwelwe.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.