ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, June 19, 2018

VIDEO:- AJALI MBAYA YAUA MMOJA NA KUJERUHI 32 MWANZA.



GSENGOtV
Basi la Kampuni ya Sabco linalofanya Safari zake kutoka Mwanza kwenda Msalala mkoani Geita limepata Ajali jana jumatatu ya tarehe 18 juni 2018 katika eneo la Kigongo Ferry Mwanza. Ajali hiyo imesababisha kifo cha mtu mmoja na kujeruhi watu 32. Ajali hiyo ni ya Pili kutokea katika eneo hilo baada ya ile ya mwaka jana ya Daladala iliyozama ziwa Victoria na kuuwa watu 12 na majeruhi kadhaa.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.