Edinson Cavani amefunguka kwanini alimwomba Mo Salah kubadilishana naye jezi baada ya mchezo kumalizika huku timu yake ya Uruguay ikishinda mchezo huo dhidi ya Misri - ingawa star huyo wa Liverpool hakucheza mchezo huo.
Reds ace Salah, who scored 44 times for the Merseysiders last season, could only look on and watch as Jose Gimenez's 89th-minute winner handed la Celeste victory in Ekaterinburg.
Kocha wa Misri Hector Cuper aliamua kuhatarisha ushindi wa timu yake kwa kumuweka benchi Mo Salah ingawa alikuwa fiti kuweza kuukabili mchezo huo baada ya kuumia bega kwenye michuano ya Fainali za UEFA.
Lakini hilo halikumzuia mkali wa mabao wa PSG Cavani kumfuata baada ya kipenga cha kupulizwa kikiashiria kumalizika kwa mchezo na kumsihi kubadilishana jezi kwaajili ya kumbukumbu na kutimiza adhma yake.
"Nimechukuwa Jezi ya Salah kwaajili ya zawadi kwa wanangu, wanao muona Salah kama nyota wao," Maneno ya Cavani alipohojiwa na baadhi ya vyombo baada ya mchezo huo wa ijumaa.
Uruguay claimed a win through the late intervention of Atletico Madrid defender Gimenez, having dominated against a toothless Egypt side that badly missed its talisman.
“A draw would have left a bitter taste because Uruguay deserved to win," added Cavani. "We created a lot of chances, maybe without playing so well, but the Egypt goalkeeper [had a great game] and in a moment we all fell into the feeling that the ball did not want to enter [the net].
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.