GSENGOtV
Ndani ya jumuiko la Maadhinmisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambapo kwa mkoa wa Mwanza yamefanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya jiji hilo, Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Bi. Marry Tesha anasisitiza umuhimu wa ulinzi na uhifadhi wa mito na maziwa ambavyo muhimili wake unategemea upandaji miti na utunzaji wa mazingira.
Na jeh ni kwanini Jiji la Mwanza limepoteza sifa ya usafi nchini kwa takribani miaka mitatu sasa?
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.