ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, May 21, 2018

ALIYENUSURIKA KUFA AJALI YA MV BUKOBA ASIMULIA KISA NA MKASA.NA ZEPHANIA MANDIA/GSENGOtV


Tanzania leo tumewakumbuka ndugu zetu ambao walipoteza maisha kwenye ajali ya kuzama kwa meli ya Mv Bukoba ambayo ilizama siku kama ya leo mnamo mwaka 1996 ikiwa njiani kiasi cha kilomita 30 kuweka nanga jijini Mwanza.

Umepata nyingi simulizi kuhusu kuzama kwa Meli hiyo sasa ni wakati wako kuiona  angle nyingine ya simulizi hizo kupitia maadhimisho ya miaka 22 tangu kutokea kwa tukio hilo ambapo Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella ameongoza maadhimisho hayo yaliyofanyika katika makaburi ya wahanga wa Mv Bukoba yaliyoko Igoma wilayani Nyamagana mkoani Mwanza.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.