ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, October 18, 2017

SERIKALI YA IRELAND NA AFYA YA AKINAMAMA WA MISASI WILAYANI MISUNGWI KUPITIA MRADI WA TASAF


Kabla ya kuzindua mradi wa Ukatili wa Kijinsia kwa Wanawake na Watoto unaoendeshwa na KIVULINI Waziri wa Mambo ya Nje wa Ireland anayeshughulikia Maendeleo, Ciaran Cannon,  aliye ambatana na Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Maendeleo nchini humo, Ruairi De Burca pamoja na Balozi wa Ireland nchini, Paul Sherlock, walitembelea kituo cha Afya cha Misasi ambapo ameahidi Serikali yake itaendelea kuchangia katika utatuzi wa changamoto zake.

Moja kati ya changamoto zilizopo kwenye kituo hicho ni uchache wa majengo kwa wagonjwa, uhaba wa vitanda unaosababisha akinamama wajawazito kulala wawili wawili kwenye kitanda kimoja huku wengine wakilala chini.

Watoto wadogo wanaolazwa kituoni hapo kukosa ward maalum hivyo kuchangamana na wakubwa kwenye ward moja, uhaba wa vitendea kazi vya huduma ya afya, miundo mbinu nakadhalika.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.