Katika msimu huu wa mvua moja kati ya sekta ambazo huathirika ni Uvuvi. JEH ni changamto gani walizonazo akinamama wachuuzi wa dagaa na uduvi mkoani Mwanza? Hasa linapokuja suala la uanikaji? Mama Valentina Kigendo anayeishi Kijiweni Sweya mkoani hapa anafunguka zaidi.
0 comments:
Post a Comment