Wakili wa Rais wa Chama Cha Wanasheria Nchini Tundu Lissu, Fatma Karume amesema kuwa Jeshi la Polisi halipo tayari kumwachia kwa Dhamana Mbunge huyo wa Singida Mashariki.
Lissu alikamatwa Jana kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu
Nyerere Jijini Dar es Salaam, alipokuwa akirejea Kutoka Mjini Dodoma.
0 comments:
Post a Comment