Jana Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete alikuwa mgeni Rasmi katika mashindano ya Mpira wa Miguu ya SportsXtra Ndondo Cup yaliyoandaliwa na AzamTv. Pichani juu Shabiki Mkubwa wa Timu ya Kauzu Fc Bwana Chief Kauzu akiingia Uwanjani katika Mtazamo wa kipekeeBaada ya kugawa zawadi mbunge Ridhiwani alizungumza na Waandishi wa Habari na kuwaasa hasa Vijana kutumia fursa ya Mashindano haya kujitangaza na pia kuzishawishi timu kubwa kuja kushiriki kuangalia viwango vinavyoonyeshwa.
Zawadi kwa viongozi wa timu ya StimTosha ya Mabibo ambao ndiyo walioibuka na Ushindi wa Magoli 4-2 kwa njia ya Penalti baada ya kumaliza mchezo kwa sare ya 1-1.
Saini kwa kitabu cha Wageni.
Zawadi kwa timu ya Kauzu.
Pamoja na hayo kuwekeza kufanyka katika viwanja vya michezo na kudumisha ushabiki wa timu hasa kwa maeneo wanayotoka. Tatu..Mhe. Ridhiwani alifanya Mahojiano na Mwandishi wa Azam Tv wakati wa mapumziko.
Fursa kuzungumza na aliyekuwa kapteni na kocha wa Timu ya soka wakali wa Msimbazi, Simba Selemani Matola.
Tupe maoni yako






0 comments:
Post a Comment