Mashetani wekundu timu ya Manchester United imeibuka
na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya timu ya Real Salt Lake katika mchezo
wa kirafiki uliofanyika huko nchini Marekani. mabao ya timu hiyo
yalifungwa na Henrikh Mkhitaryan na Romelu Lukaku huku goli la Real Salt
Lake likifungwa na Luis Silva.
Wahispania wa Sevilla imeichapa Cerezo Osaka ya Japan kwa mabao 3-1,Wolfsburg wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Hansa Rostock
Sturm Graz na West Ham United wametoshana nguvu kwa sare ya bila kufungana .Real Union wamelala kwa kufungwa 3-1na Eibar.
Athletic Bilbao nao Fenerbahce nao wametoshana nguvu kwa mchezo kumalizika kwa sare ya bila bila.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.