Mwili wa aliyekuwa Mke wa Waziri wa habari, Utamadubi, Sanaa na Michezo,
Dkt. Harrison Mwakyembe, Bi. Linah George Mwakyembe unatarajiwa kuagwa
leo katika Kanisa la KKKT lililopo Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam
kabla ya kusafirishwa kwenda wilayani Kyela mkoani Mbeya kwa ajili
mazishi.
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
0 comments:
Post a Comment