Kesi hiyo yenye namba MGZ/IR/256 imefunguliwa katika kituo kidogo cha polisi Maganzo na bibi wa mtoto huyo, Milembe Luhende wa kijiji hicho kufuatia kubaini mjukuu wake kufanyia kitendo hicho cha kikatili na mwanae wa kiume ambapo siku ya tukio kijana huyo, anayefanya kazi ya ulinzi katika nyumba ya kulala wageni ya Nsamaka iliyopo Maganzo alimchukua mtoto huyo na kwenda naye kazini kwake ambapo baada ya kumrejesha nyumbani ndipo walipogundua kufanyiwa kitendo hicho.
Kitendo hicho kinahusishwa na imani za kishirikina na matumizi ya dawa za kulenywa kutokana na uhalisia wa eneo la maganzo wakazi wake kujihusisha shughuli za uchimbaji madini huku serikali ikisisitiza mhusika achukuliwe hatua kali za kisheria.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.