TOTO Africans leo imewarusha kichurachura maafande wa JKT Kanembwa kutoka mkoani Kigoma kwa kuwafunga mabao 5-2, mchezo uliochezwa kwenye dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza. Kwa matokeo hayo Toto Africans inaongoza Ligi hiyo ikiwa na pointi 35 nyuma yake wako Mwadui Fc wenye pointi 33 baada ya mchezo wa jana walioshinda 1-0 dhidi ya Polisi Dodoma. ZAIDI BOFYA PLAY KUSIKILIZA KILICHOJIRI.
THBUB YACHUNGUZA MAUAJI YA KIUNGONI, PEMBA
-
Kamisha wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, ofisi ya Zanzibar,
Khatib M. Mwinchande, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo
mbalimbali o...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.