Mfano wa Sarafu ya 500 kama ilivyoonekana katika Banda la Benki Kuu katika maonesho ya Sabasaba jijini Dar es salaam |
Sarafu ya shilingi mia Tano inatarajiwa kuzinduliwa na Benki Kuu ya Tanzaia. Sarafu hiyo itatumika sambamba na noti za shilingi mia Tano huku zikiwa zinaondolewa taratibu. Hayo ni kwa mujibu wa mkurugenzi wa Huduma za Kibenki na Sarafu wa Benki Kuu ya Tanzania Bw. Emanuel Boaz.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.