Sunday, November 24, 2013
HABARI
Siku mbili mara baada ya Mbunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe kutangazwa kuvuliwa nyadhifa alizokuwa nazo katika uongozi wa juu chama hicho, wanachama wa chama hicho jimboni mwake wameandamana kila kona ya mji wakiwa na mabango huku wakichoma bendera na baadhi ya picha za viongozi wao kupinga uamuzi huo wa chama.
Aidha wanachama hao wa CHADEMA Kigoma Kaskazini wamekitaka chama hicho kutengua maamuzi waliyochukuliwa dhidi ya Mbunge wao kama sivyo watakihama chama hicho.
BOFYA PLAY KUSIKILIZA KILICHOJIRI. Kwa hisani ya Star Tv.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.