Bondia
Ramadhani Mbwana kushoto akipambana na Patrick Kimweri wakati wa mchezo wa
masumbwi yaliyofanyika Mkoa wa Tanga jana kwa ajili ya kumuenzi na kumchangia
bondias Marehemu Magoma Shabani aliefariki Dunia Kimweri alishinda mchezo huo
kwa point
Baadhi ya Mashabiki waliojitokeza katika mpambano
wa masumbwi kwa ajili ya kumuenzi bondia Magoma shabani yaliyofanyika jana
katika Mkoa wa Tanga.
Bondia mkokwe wa siku nyingi Chales Muhilu
'Spins' ambaye kwa sasa ni Kocha wa Mkoa wa Tanga akifatilia mashindano hayo
jana.
Bondia Ramadhani
Mbwana kushoto akipambana na Patrick Kimweri wakati wa mchezo wa masumbwi
yaliyofanyika Mkoa wa Tanga jana kwa ajili ya kumuenzi na kumchangia bondias
Marehemu Magoma Shabani aliefariki Dunia Kimweri alishinda mchezo huo kwa
point.
Bondia Yusufu Ally kushoto na Adam Yusufu
wakioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi wakati wa mchezo huo kwa ajili ya
kumkumbuka na kuchangia Bondia Magoma Shabani alifariki Dunia hivi karibuni Mkoa
wa Tanga Adamu Yusufu alishinda kwa Point mchezo uho
MABONDIA patrick kimweri na ramadhani mbwana
wakioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi wakati wa mpambano wa kumkumbuka na
kumchangia bondia Magoma Shabani Aliefariki Dunia Picha na www.superdboxingcoacvh.blogspot.com
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.