![]() |
| Kikosi cha Harambee Stars ya Kenya katika mchezo wa Kimataifa uliokwenye kalenda ya FIFA uliofanyika leo katika uwanja wa CCM kirumba jijini Mwanza ambacho kimefungwa 1-0 na Tanzania. |
![]() |
| Mgeni rasmi wa mchezo huo mkurugenzi wa jiji la Mwanza Wilson Kabwe akisalimiana na wachezaji wa timu ya Taifa ya Kenya 'Harambee Stars' |
![]() |
| Mgeni rasmi wa mchezo huo mkurugenzi wa jiji la Mwanza Wilson Kabwe akisalimiana na wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars'. |
![]() |
| Salaam muhimu.. ni baina ya Taifa Stars na Harambee Stars. |
![]() |
| Mgeni rasmi wa mchezo huo mkurugenzi wa jiji la Mwanza Wilson Kabwe akisalimiana na Kocha mkuu wa Taifa Stars Kim Poulsen kabla ya mchezo kuanza. |
![]() |
| Wachezaji wa Tanzania na sherehe za goli. |
![]() |
| Mfungaji wa goli la ushindi kwa Tanzania Aggrey Morris (6) akiserebuka na wachezaji wenzake mara baada ya kuipatia timu yake goli dakika ya tanotu ya mchezo. |
![]() |
| Muosha huoshwa...! Mpiga picha wa kituo cha televisheni cha Star TV akiweka sawa na hatimaye kunaswa na blogu ya G. Sengo. |
![]() |
| Mashabiki wa Taifa Stars waliokuwa wameketi katika jukwaa la mashabikiwa wa Simba wakifuatilia mtanange huo ambapo ushirikiano ulikuwa asilimia mia. |
![]() |
| Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' akizungumza na waandishi wahabari mara baada ya mchezo kumalizika kwa timu yake kuibuka na ushindi.. Kumsikiliza Bofya Play... |
Tupe maoni yako


















0 comments:
Post a Comment