NA ALBERT G. SENGO
Kutunza mazingira ni wajibu wa kila mwananchi, jamii imehimizwa kuhakikisha inatimiza wajibu huo, kwa kutunza mazingira na kulinda vyanzo vya maji ikiwemo kupanda miti majumbani pamoja na kutunza mito na fukwe za Ziwa Victoria. Wito huo umetolewa leo ijumaa 17 Machi 2024 na KAIMU MKUU WA KIWANDA CHA TBL MWANZA BERNARD MUSA - wakati wa zoezi la kufanya usafi na utoaji wa elimu juu ya kutunza mazingira, uliowashirikisha pia wafanyakazi wa Kampuni hiyo katika eneo la mto Vuka, uliopo Furahisha, Kirumba jijini Mwanza unao kusanya maji kutoka viunga mbalimbali kuyatiririsha ziwa Victoria.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.