Waziri wa Afya, Dkt. Doroth Gwajima ameliagiza Jeshi la Polisi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kumkamata na kumhoji Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima
-Gwajima anatakiwa athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na Viongozi kuhusu chanjo ya #COVID19 ambazo zimeonekana kuwa za kupotosha
-
Gwajima ni kati ya wachache waliojitokeza kutangaza kutochanjwa na kuipinga chanjo ya COVID-19 hadharani
Tupe maoni yako

0 comments:
Post a Comment