Shirika
la Mpango wa Chakula Duniani WFP, limesafirisha makontena 18 ya chakula kwenda
kwa wakimbizi wa Sudan kusini kupitia njia ya Reli ambayo haikuwa inafanyakazi
kwa takribani miaka 10 iliyopita kutoka Bandari ya Dar es salaam hadi Mwanza
kisha kufaulishwa kwa njia ya maji kupitia meli ya Mv. Umoja hii ni mara ya
pili tangu njia hiyo ifunguliwe rasmi june 24, Mwaka huu pale bandari ya Mwanza
kusini, Mahamud Mabuyu ndio Mkuu wa Kitengo cha Usafirishaji Mpango wa Chakula
Duniani.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.