ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, June 25, 2018

MAPIGANO YA KIKABILA YAUWA WATU 32 NCHINI MALI.

Watu 32 wamepoteza maisha katika mapigano ya kikabila katika eneo la Mopti nchini Mali.

Kulingana na habari zilizotolewa na kituo cha habari cha Mali ni kwamba wanaume wenye silaha wa kabila la Dogon walikivamia kijiji cha Koumaga na kuua watu 32 wa kabila la Fulani.

Mamlaka za mitaa zimeripoti kuwa bado watu watatu hawajulikani walipo mpaka sasa.


Eneo la Mopti halina ulinzi wa kutosha.

Kumekuwa na mapigano kati ya makabila tofauti mara kwa mara.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.