Umri miaka 28.
Mkenya wa Meru Fundi wa Ujenzi
Alienda kumdai jamaa deni alimjengea nyumba.
Jamaa akampiga na kumshindilia misumari 3 mirefu kichwani.
Tukio lilitokea Igembe Kati huko Meru Kenya Jumatano iliyopita.
Jamaa yuko kwenye coma (hajitambui-mahututi) Kenyatta Hospital
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.