Beki wa Nakuru All Stars, Amakanji Ekuba, akiondoa mpira wa hatari mbele ya mshambuliaji wa Simba Sc, Juma Luizio, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye
Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa Simba Juma Luizio (kulia) akichuana na Beki wa Nakuru All Stars, Amakanji Ekuba,
wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini
Dar es Salaam.
Beki wa Simba, Mwambeleko Jamal (kushoto) akiwania mpira na beki wa Nakuru All Stars, Nandwa
Sosi, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru
jijini Dar es Salaam.
Beki wa Nakuru All Stars, Mukhwana Sadicky, akiondoa mpira wa hatari mbele ya mshambuliaji
wa Simba, Juma Luizio, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye
Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Kiungo wa Simba Mwinyi Kazimoto (katikati) akijaribu kuwatoka mabeki wa Nakuru, wakati wa
mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es
Salaam.
Beki wa Nakuru All Stars, akiokoa mpira wa hatari mbele ya mshambuliaji wa Simba, Mohamed
Ibrahim, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru
jijini Dar es Salaam.
Kiungo wa Simba, Mwinyi Kazimoto, akijipinda kupiga shuti kuelekea langoni kwa wapinzani, Nakuru
All Stars, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa
Uhuru jijini Dar es Salaam.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.