 |
| Mkuu wa wilaya ya Ilemela Dkt. Leonard Moses Massale (kushoto) akifungua mfuko kwa kukikata kifungashio kama ishara ya kuzindua kampeni ya 'Airtel Money Linda Mbegu' katika mkoa wa Mwanza, kampeni inayodhaminiwa na Airtel Tanzania kwa kushirikiana na ACRE Africa, SeedCo na kampuni ya Bima ya UAP Tanzania Ltd, yenye mkakati wa kukuza kipato cha wakulima na kuwalinda wakulima dhidi ya majanga ya hali ya hewa. |
Kampuni ya simu ya mkononi ya airtel kwa kushirikiana na makampuni ya ACRE Africa,seedCo pamoja na kampuni ya bima ya UAP imezindua huduma ya bima ya kilimo ijulikanayo kama linda mbegu itakayowawezesha wakulima wa mikoa ya kanda ya ziwa kukatia bima mbegu zao za mahindi.
Tanzania inategemea sana kilimo katika uchumi na chakula kwa watu wake. Sekta ya kilimo ndiyo inayoajiri zaidi Tanzania, takribani asilimia 80 ya Watanzania wanajishughulisha na shughuli za kilimo.
Pamoja na hivyo, wakulima wachache sana wanatumia mbegu bora kwa sababu hawana uhakika na uzalishaji wa mazao yao.
Wakizungumza wakati wa uzinduzi wa bima hiyo jijini Mwanza, maafisa wa makampuni hayo wamesema kuwa huduma hiyo ya bima itamwezesha mkulima kufidiwa mifuko mipya ya mbegu ikiwa kutatokea tukio la mvua kidogo na hivyo kusababisha mbegu kushindwa kuota.
Huduma hiyo kwa sasa itawanufaisha wakulima wa mikoa ya kagera,shinyanga,mara na mwanza ambapo mteja atakaponunua mfuko wa mbegu atapata fursa ya kujiandikisha kwa kupiga *150*60# kisha kuingiza namba maalum atakayoipata kwenye kadi iliyomo kwenye mfuko wa mbegu bila kulipia gharama.
 |
| Naye Mkurugenzi wa ACRE Africa Bi. Rahab Kariuki amewahimiza wakulima nchini kuchangamkia fursa hiyo ambayo itawaunganisha katika ufanisi kwa kufanya kilimo cha manufaa. |
 |
| Kusanyiko. |
 |
| Emmanuel Raphsel Meneja wa masoko Airtel Kanda ya Ziwa. |
 |
| Raymond Komanga - Meneja Maendeleo ya Biashara Kampuni ya Bima ya UAP. |
 |
| Chukuwa mbegu na ukapande. |
 |
| 'Msimu wa kilimo si ndiyo huu' Sasa chukuwa mbegu na ukapande. |
 |
| Mkuu wa wilaya ya Ilemela Dkt. Leonard Moses Massale (kushoto) akimkabidhi mbegu mwandishi wa Habari toka TBC Amicus Butunga katika uzinduzi wa kampeni ya 'Airtel Money Linda Mbegu' katika mkoa wa Mwanza, kampeni inayodhaminiwa na Airtel Tanzania kwa kushirikiana na ACRE Africa, SeedCo na kampuni ya Bima ya UAP Tanzania Ltd, yenye mkakati wa kukuza kipato cha wakulima na kuwalinda wakulima dhidi ya majanga ya hali ya hewa. |
 |
| Mkuu wa wilaya ya Ilemela Dkt. Leonard Moses Massale (kushoto) akimkabidhi mbegu mwandishi wa Habari toka Clouds Fm Sara Onesmo katika uzinduzi wa kampeni ya 'Airtel Money Linda Mbegu' katika mkoa wa Mwanza, kampeni inayodhaminiwa na Airtel Tanzania kwa kushirikiana na ACRE Africa, SeedCo na kampuni ya Bima ya UAP Tanzania Ltd, yenye mkakati wa kukuza kipato cha wakulima na kuwalinda wakulima dhidi ya majanga ya hali ya hewa. |
 |
| Mkuu wa wilaya ya Ilemela Dkt. Leonard Moses Massale (kushoto) akimkabidhi mbegu mwandishi wa Habari toka Star Tv, Abdalah Tilata katika uzinduzi wa kampeni ya 'Airtel Money Linda Mbegu' katika mkoa wa Mwanza, kampeni inayodhaminiwa na Airtel Tanzania kwa kushirikiana na ACRE Africa, SeedCo na kampuni ya Bima ya UAP Tanzania Ltd, yenye mkakati wa kukuza kipato cha wakulima na kuwalinda wakulima dhidi ya majanga ya hali ya hewa. |
 |
| Mkuu wa wilaya ya Ilemela Dkt. Leonard Moses Massale (kushoto) akimkabidhi mbegu mwandishi wa Habari toka Channel Ten Henry Kavirondo katika uzinduzi wa kampeni ya 'Airtel Money Linda Mbegu' katika mkoa wa Mwanza, kampeni inayodhaminiwa na Airtel Tanzania kwa kushirikiana na ACRE Africa, SeedCo na kampuni ya Bima ya UAP Tanzania Ltd, yenye mkakati wa kukuza kipato cha wakulima na kuwalinda wakulima dhidi ya majanga ya hali ya hewa. |
 |
| Mkuu wa wilaya ya Ilemela Dkt. Leonard Moses Massale (kushoto) akimkabidhi mbegu mwandishi wa Habari toka RFA Paulina David katika uzinduzi wa kampeni ya 'Airtel Money Linda Mbegu' katika mkoa wa Mwanza, kampeni inayodhaminiwa na Airtel Tanzania kwa kushirikiana na ACRE Africa, SeedCo na kampuni ya Bima ya UAP Tanzania Ltd, yenye mkakati wa kukuza kipato cha wakulima na kuwalinda wakulima dhidi ya majanga ya hali ya hewa. |
 |
| Mkuu wa wilaya ya Ilemela Dkt. Leonard Moses Massale (kushoto) akimkabidhi mbegu mwandishi wa Habari toka gazeti la Mtanzania Lodrick Ngowi katika uzinduzi wa kampeni ya 'Airtel Money Linda Mbegu' katika mkoa wa Mwanza, kampeni inayodhaminiwa na Airtel Tanzania kwa kushirikiana na ACRE Africa, SeedCo na kampuni ya Bima ya UAP Tanzania Ltd, yenye mkakati wa kukuza kipato cha wakulima na kuwalinda wakulima dhidi ya majanga ya hali ya hewa. |
 |
| Mkuu wa wilaya ya Ilemela Dkt. Leonard Moses Massale (kushoto) akimkabidhi mbegu mwandishi wa Habari toka Tv1 Husna Abdul katika uzinduzi wa kampeni ya 'Airtel Money Linda Mbegu' katika mkoa wa Mwanza, kampeni inayodhaminiwa na Airtel Tanzania kwa kushirikiana na ACRE Africa, SeedCo na kampuni ya Bima ya UAP Tanzania Ltd, yenye mkakati wa kukuza kipato cha wakulima na kuwalinda wakulima dhidi ya majanga ya hali ya hewa. |
 |
| Mkuu wa wilaya ya Ilemela Dkt. Leonard Moses Massale (kushoto) akimkabidhi mbegu mwandishi wa Habari toka gazeti la Mwananchi Jamson katika uzinduzi wa kampeni ya 'Airtel Money Linda Mbegu' katika mkoa wa Mwanza, kampeni inayodhaminiwa na Airtel Tanzania kwa kushirikiana na ACRE Africa, SeedCo na kampuni ya Bima ya UAP Tanzania Ltd, yenye mkakati wa kukuza kipato cha wakulima na kuwalinda wakulima dhidi ya majanga ya hali ya hewa. |
 |
| Mkuu wa wilaya ya Ilemela Dkt. Leonard Moses Massale (kushoto) akimkabidhi mbegu mwandishi wa Habari toka Metro Fm Tony Alphonce katika uzinduzi wa kampeni ya 'Airtel Money Linda Mbegu' katika mkoa wa Mwanza, kampeni inayodhaminiwa na Airtel Tanzania kwa kushirikiana na ACRE Africa, SeedCo na kampuni ya Bima ya UAP Tanzania Ltd, yenye mkakati wa kukuza kipato cha wakulima na kuwalinda wakulima dhidi ya majanga ya hali ya hewa. |
 |
| Mkuu wa wilaya ya Ilemela Dkt. Leonard Moses Massale (kushoto) akimkabidhi mbegu mwandishi wa Habari wa GSENGO BLOG, Zephania Mandia katika uzinduzi wa kampeni ya 'Airtel Money Linda Mbegu' katika mkoa wa Mwanza, kampeni inayodhaminiwa na Airtel Tanzania kwa kushirikiana na ACRE Africa, SeedCo na kampuni ya Bima ya UAP Tanzania Ltd, yenye mkakati wa kukuza kipato cha wakulima na kuwalinda wakulima dhidi ya majanga ya hali ya hewa. |
 |
| Sasa ni zamu ya mgeni rasmi:- Mkuu wa wilaya ya Ilemela Dkt. Leonard Moses Massale, akipokea mbegu tuka kwa wadau wa kampeni, katika uzinduzi wa kampeni ya 'Airtel Money Linda Mbegu' katika mkoa wa Mwanza, kampeni inayodhaminiwa na Airtel Tanzania kwa kushirikiana na ACRE Africa, SeedCo na kampuni ya Bima ya UAP Tanzania Ltd, yenye mkakati wa kukuza kipato cha wakulima na kuwalinda wakulima dhidi ya majanga ya hali ya hewa. |
Kutokana takwimu za hivi karibuni kwenye ripoti ya National Bureau statistic (NBS) zinaonyesha kwa kipindi cha January hadi Juni 2016 shughuli za Agro Agricultural ambazo zinahusisha kilimo, ufugaji, uvuvi na misitu zinachangia trilioni 11.7 za pato la taifa ambapo asilimia 3.4 inatoka kwenye kilimo.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment